21 Feb, 2023
09:00am - 02:30pm
Dodoma
Bodi ya Kahawa inategemea kuendesha semina kwa waandaaji wa kahawa mkoani Dodoma tarehe 23.03.2023 katika ukumbi wa jiji la Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mh. atakuwa mgeni rasmi katika Semina hiyo.
Ili kujisajili kushiriki katika semina hiyo tafadali wasiliana Afisa wa Bodi ya Kahawa Ndugu Frank Mlay kwa namba 0767 838181 au barua pepe frank.mlay@coffee.go.tz