Dira Kuwa Taasisi Bora ya Udhibiti wa Kahawa Barani Afrika.
Dhamira Kutengeneza mazingira wezeshi ya kufanya biashara kwa ajili ya maendeleo ya tasnia ya kahawa Tanzania.