Leseni za biashara ya kahawa zinatolewa kwa kampuni tu
Ili kupata kibali cha kufanya biashara ya kahawa utaingia katika mtandao wa ATMIS kwa kutumia link ifuatayou atmis.kilimo.go.tz Na kisha utachagua Bodi ya kahawa na kuomba kubali unachokihitaji katika mfumo huu
Ili uweze kununua kahawa mnadani unalazimika kuwa na leseni ya usafirishaji kahawa nje