Ili kupata kibali cha kufanya biashara ya kahawa utaingia katika mtandao wa ATMIS kwa kutumia link ifuatayou

atmis.kilimo.go.tz

Na kisha utachagua Bodi ya kahawa na kuomba kubali unachokihitaji katika mfumo huu