Imewekwa: 21 Feb, 2023
Uzinduzi wa Ugawaji Miche ya Kahawa Mkoani Kagera

Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Anthony Mavunde (Mb) leo tarehe 21.02.2023 amezindua ugawaji wa miche ya kahawa kwa wakulima wa mkoa wa Kagera. Jumla ya miche Milioni Tatu itagawiwa bure kwa wakulima wa kahawa wapatao 54,000. Miche hiyo imezalishwa chini ya usimamizi wa Bodi ya Kahawa Tanzania kwa kushirikiana kwa kupitia kitalu kinachomilikiwa na kampuni ya JJAD chini ya uongozi wa Ndugu